Familia ya marehemu boxer mashuhuri sana dinuani, Muhammad Ali, aliyefariki jana imesema msiba utakuwa wa jamii na wapenzi wa Ali duniani wakaribishwa Louisville Kentucky kumwaga bingwa wa ndondi duniani.
Kabla ya msiba wa jamii kutakuwa na kukusanyika kwa wanafamilia na badae waliompenda Ali wataweza kumwaga.
Rais wa zamani wa USA, Bill Clinton, pamoja na mchekeshaji Billy Crystal wataongea kwenye msiba.
Pia msemaji wa masuala ya michezo Bryant Gumbel nae ataongea.
Rais Barack Obama ametuma salam za rambirambi kwa familia na kusema Ali alikuwa shujaa wa michezo na pia mpigania haki za wanyonge mkubwa...Bofya hapa upate bahari zaidi.
Rais Barack Obama ametuma salam za rambirambi kwa familia na kusema Ali alikuwa shujaa wa michezo na pia mpigania haki za wanyonge mkubwa...Bofya hapa upate bahari zaidi.

0 Yorumlar